NI headlines za Rais wa Uganda Yoweri Museveni ambae ametangaza maambukizi mapya ya watu 11 ya ugonjwa wa Covid-19 nchini humo, wakiwemo baadhi ya wanakwaya wa kwaya maarufu nchini humo ‘Watoto Children’s Choir.
Kupitia matangazo ya televisheni, alisema kuwa wagonjwa wote wapya walikuwa Quarantine baada ya kurejea kutoa ughaibuni , ingawa hakueleza kueleza afya zao zikoje kwa sasa na walikuwa wametoka taifa gani. Mpaka sasa Uganda imethibitisha kuwa na wagonjwa wa Corona 44.

0 Comments
+255717114144