Mtanzania Abdi Banda leo ametumia ukurasa wake wa instagram kuelezea kuwa hakuwa hakisumbuliwa na virusi vya corona kama ambavyo imekuwa ikiripotiwa mitandaoni.
“Napenda kutoa shukrani zangu kwa wote mlioguswa/shtushwa na habari juu yangu kikubwa kila kitu kimeenda sawa na kwa baraka za M/MUNGU imegundulika haukuwa ugonjwa unaosumbua kwa sasa duniani Ahsanteni sana MUNGU awabariki” >>>Abdi Banda


0 Comments
+255717114144