Watu 19 wafariki katika mafuriko nchini China
Watu 19 wafariki katika mafuriko yaliosababishwa na mvua nchini China
Watu 19 waripotiwa kufariki kkatika mafuriko yaliosababishwa na mvua kali zilizonyesha nchini China.
Mvua kali zimenyesha katika eneo la Kati la China.
Watu wengine 6 hawajulikani walipo kutokana na mafuriko hayo.
Kulingana
na kituo cha habari cha Shinhua, jimbo la Hubey limeathirika na mvua
hizo zilizonyesha kwa wingi Jumapili na kupelekea mafuriko.
Watu 61 wameokolewa katika mafuriko hayo na wengine 13 walifariki.

0 Comments
+255717114144